Maono ya dunia

Dhana mpya ya miwani ya kupimwa
Dira yetu

Kutoa glass za macho kwazaidi ya watu bilioni moja wanaohitaji

Macho hafifu huzuia maendeleo ya kielimu kwa watoto na hivyo kuathiri uzalishaji wao kikazi wafikapo watu wazima.

Juhudi za hapo mwanzo majaribio mengi yamefanywa kutatua tatizo hili la kuumiza, lakini ufumbuzi kwa ujumla ulikuwa mgumu sana na pia  na ilihitaji gharama mkubwa ya kuchukua hatua kamili


Read More on the Issue
Suluhu yetu

Zana ya miwani
DOT Glasses Vision KIT

Hati miliki yetu ya frem zenye kurekebishika zilizoundwa na Mbtech wakishirikiana na Mercedes Benz na AKKA Technologies, tunakuletea mbinu mpya za kisasa kwenya bidhaa za jadi.

Soma zaidi Kuhusu ufumbuzi wetu

Utangulizi kutoka kwa Mwanzilishi was miwani ya DOT

Washirika wetu